Haki Zote Zimehifadhiwa. Kwa upande wa Kusini inapakana na wilaya Morogoro na kwa upande wa Kaskazini Mashariki inapakana na wilaya za Bagamoyo na Handeni. Utoaji wa hatimiliki za mashamba utafanyika baada ya kazi ya upimaji ranchi 50 kukamilika. •  Gari la usimamizi wa huduma za Afya na usambazaji wa Chanjo 1, •  Usimamizi wa huduma za Afya, Usambazaji na Utawala 1 na. (WUA) zilizosajiliwa kisheria au mawakala. Mahitaji ya walimu kwa Elimu ya awali ni 196, waliopo ni 103, hivyo uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi ni 1:47 (kiwilaya) na 1:25 (Kitaifa) kwa mantiki hiyo, Wilaya ina upungufu wa walimu wa awali 93. Historia Sekretariati ya mkoa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 489,513 [1] . Wasifu Vijiji hivi ni kati ya vijiji 22 vilivyotambuliwa kuwa na maeneo ya Wafugaji katika Wilaya. Kutoa elimu kwa jamii juu ya utaratibu na kanuni za uchimbaji visima ili kudhibiti uchimbaji holela, pia kudhibiti matumizi ya maji kwa kuwapatia Water right wale wanaovuna maji zaidi ya kiwango kilichowekwa na Wizara. Shughuli zinazotekelezwa katika kuboresha maendeleo ya mifugo ni:-, Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu mbinu za ufugaji bora na uboreshaji mifugo. Wakulima kutoka mjini Morogoro walivamia ardhi katika kitongoji cha Mela mwaka 1999 kilichotengwa na wanavijiji kwa ajili ya wafugaji. Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO's), Makampuni binafsi na ya Kiserikali, Taasisi za Kiserikali (DDCA) na zisizo za Kiserikali pamoja na wadau mbalimbali. sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya sekretarieti ya ajira iliyowasilishwa na xavier m. daudi kwenye baraza la wafanyakazi katika ukumbi wa “council chamber” – chuo kikuu cha kilimo sokoine, morogoro tarehe 21 disemba, 2020 mhe. Wapenda mchezo huo watamkubuka mchezaji wa timu ya taifa Gibson Sembuli ambaye alikuwa mchezaji maarufu wa timu ya klabu ya … c) Fomu za mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni na maelekezo mengine yatakayotolewa na shule. Nyanda hizi zipo kwenye mwinuko wa mita 1200 – 2000 kutoka usawa wa bahari. Hata hivyo wapo walimu wa ajira mpya wapatao 15 wa “A” Level waliopangwa wilaya ya Mvomero, wanatarajiwa kuripoti ili kupunguza upungufu uliopo. Hii ndio hali halisi ya Hospitali ya mkoa wa Morogoro. Pia mkoa una shule za msingi zipatazo 950. Wilaya ya Mvomero ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro,Tanzania yenye Postikodi namba 67300. Halmashauri bado inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa walimu kwa shule za sekondari. Mgogoro kati ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Kambala: Mgogoro kati ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Kambala kata ya Hembeti tarafa ya Turiani ni sugu hadi sasa uko mahakama kuu kitengo cha ardhi. Mvua za vuli, ambazo huanza mwezi Oktoba hadi Januari. Uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi kiwilaya ni 1:44 na kitaifa ni 1:40. Halmashauri kupitia timu ya uhamasishaji masuala ya maji na usafi wa mazingira ya wilaya (DWSST) kwa kushirikiana na shirika la EEPCO pia WATSANET imeweza kuunda na kusajili jumuiya mbili (2) za watumia maji (WUA) kati ya 6 zilizohitajika. Nyanda hizi zipo kwenye mwinuko (altitude) wa mita 600 – 800 kutoka usawa wa bahari. Mazao yanayostawi kwenye nyanda hizi ni mpunga, Mahindi, na Mihogo kama mazao ya chakula, na mazao ya biashara ni Miwa, Pamba na Katani. “Tunafanya uchaguzi katika mazingira ambayo haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii. Vyama 17 vikiwa ni vya Ushirika wa Akiba na Mikopo, chama kimoja (1) kikiwa kinajishughulisha na Kilimo cha Mbogamboga na kuuza Pembejeo Mgeta. Mvua za masika, ambazo huanza mwezi Februari hadi Mei/Juni. Kati ya hizo, shule 21 ni za wananchi, 1 ya Serikali Kuu na shule 2 za binafsi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012 , kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,558 [1] walioishi humo. Mwaka 1913 eneo lote liligawiwa kwa mikoa 21 na maeneo matatu ya wawakilishi wakazi. Text is available under the CC BY-SA 4.0 license; additional terms may apply. Kuendelea kutafuta na kuvutia wafadhili katika miradi ya maji ili tuweze kuboresha na kuifanyia matengenezo miradi iliyoharibika hasa ya mserereko ambayo inatoa matokeo haraka na inaweza kuhudumia vijiji zaidi ya kimoja. Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero ina miundombinu 328 na vituo 607 vinayotoa huduma ya maji kwa wakazi wake. 9,542,000/=. kapt. Hali ya mifugo kiafya ni nzuri. ↑ Sensa ya 2012, Morogoro - Morogoro DC. Ambazo zilinunuliwa na mawakala na kuuzwa kwa wakulima. Na. RAIS John Magufuli, ameanzisha wimbi jingine la tafakuri ya kihistoria nchini, akiwa katika ziara mkoani Morogoro ambako alizindua soko la manispaa hiyo na kuipa jina la Chifu Kingalu. Changamoto zinazoikabili Sekta ya Afya ni pamoja na: Upungufu wa Watumishi wenye ujuzi ukilinganisha na vituo vilivyopo na vipya vinavyojengwa. Vilevile kuna vyama 2 vya Ushirika wa Akiba na Mikopo kutoka Maskati na Melela viko kwenye mchakato wa kusajiliwa na kimoja cha ufugaji wa Mbuzi wa Maziwa kutoka Mgeta nacho kiko katika mchakato wa kusajiliwa. Katika kutekeleza mpango huu, Halmashauri iLiainisha maeneo maalumu ya kuanzia katika mpango huu kwa mwaka 2007/2008. Nyanda hizi hustawisha mazao kama mahindi, mihogo, mtama kwa chakula na mazao ya biashara ni Miwa na Alizeti. Pamoja na mikakati ya kuhakikisha Ushirika unawanufaisha Wananchi, huduma hii kwa sasa inatolewa na vyama 22. MUHOGO, ASILI NA UMUHIMU WAKE. Aidha shule 44sawa na 32% hazina madarasa ya awali. Mama huyu alidai kuwa… Aidha alisema katika kata 214 ya Mkoa wa Morogoro, Chadema hakina wagombea udiwani kwa kata 109 kwa sababu walienguliwa. Kuendesha miradi ya maji ya jamii kwa kutumia jumuia za watumiaji maji. Ukosefu wa miundombinu bora kama barabara inayokwamisha kupeleka vifaa, tiba na vya ujenzi pamoja na madawa kwa wakati hususani kipindi cha mvua. Wilaya ina jimbo moja la Uchaguzi wa Ubunge la Mvomero linaloanzia Mgeta kwenye Milima ya Uluguru hadi Turiani kwenye Milima ya Nguu. KAMA utairejea historia ya Morogoro ya miaka ya kati ya 1870 hadi 1888, kipindi ambacho Sultan wa Zanzibar alikuwa Sayyed Barghash, uitagundua kuwa kwenye safu ya Milima ya Uluguru na pembezoni mwake kulikuwa chini ya Machifu wa makabila tofauti ambayo leo hii yanaitwa “Koo za Kiluguru”. Hivi ni vyama ambavyo tayari vimesajiliwa. Pia vina Hisa zenye thamani ya Tshs. Ifahamu Miongozo ya uazishwaji wa minada ya mifugo, uuzaji wa mifugo katika minada, ukusanyaji wa mapato kupitia minada, nyaraka zinazohitajika katika kusafirisha mifugo n.k Bofya hapa.. BOFYA HAPA KUONA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2020. Vijiji vyote 101 vimepimwa mipaka kwa ufadhili wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na ramani zimekamilika hivi karibuni. Katika Wilaya ya Mvomero kama ilivyo kwenye Wilaya nyingine hapa Tanzania idadi kubwa ya watu wanaishi zaidi ya kilomita tano kutoka kituo cha kutolea huduma ya Afya. Wilaya ya Mvomero inahudumia barabara zake kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya fedha ikiwemo Mfuko wa Barabara (Roads Fund), Mradi wa Usafiri na Uchukuzi Vijijini (VTTP) na Mpango wa Maendeleo ya barabara vijijini (LGTP). Lengo la mradi huu ni kuchinja ng'ombe 300 kwa siku utakapokamilika. Pengine idadi ya watu waliofariki katika ajali hii ikaongezeka maradufu kwa sababu kuna baadhi ya watu wameteketea kabisa na wala hakuna alama yoyote iliyobakia kutokana na ukali wa moto! Baada ya hapo vijiji vitapewa cheti cha ardhi ili Ofisi za vijiji zianze kutoa hati za hakimiliki za kimila kwa eneo la kila mwanakijiji. Upungufu wa madawa toka Bohari la madawa (MSD) yanapoagizwa. Kuendeleza nyanda za malisho kwa kuboresha majosho na malambo, Kusimamia minada na kukusanya mapato ya Halmashauri, Kutoa mafunzo kwa wafugaji 13 juu ufugaji wa kiabiashara, Kutoa mafunzo kwa wafugaji 135 juu ya utatuzi wa migogoro kwa njia ya amani. Hali ya afya na chanjo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero imeanishwa katika jedwali hapo chini:-, Kiwango cha Wazazi wanaozalishwa na Wakunga waliopata mafunzo. (ii). Mgogoro katika kijiji cha Melela kati ya wakulima wa Ushirika wa Twendepamoja kutoka Manispaa ya Morogoro na wafugaji ni wa muda mrefu. MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU(MOCK) KIDATO CHA NNE MEI-2019 MOROGORO -July 29, 2019; Karibu kuwekeza Mkoani Morogoro -September 26, 2019; Ifahamu Miongozo ya uazishwaji wa minada ya mifugo, uuzaji wa mifugo katika minada, ukusanyaji wa mapato kupitia minada, nyaraka zinazohitajika katika kusafirisha mifugo n.k Bofya hapa.. Shule hizo zina jumla ya wanafunzi 471 0wakiwemo wavulana 2347 na wasichana 2336. Bezirksleiter au Bezirkamtsmann) waliyemwakilisha gavana na mikoa miwili ilikuwa chini ya mamlaka ya kijeshi yaani afisa wa jeshi la kikoloni la schutztruppe. Shule zenye kidato cha V - VI ni Askofu Adrian Mkoba na Mzumbe zenye jumla ya Wanafunzi 396 wakiwemo Wavulana 291na Wasichana 105. Mhe. Tovuti Kuu ya Serikali Imesanifiwa, imetengenezwa na inahifadhiwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao.Taarifa zinasimamiwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.Lengo kuu la Tovuti Kuu hii ni kuwezesha upatikanaji wahuduma za umma kwa uwazi, urahisi na gharama nafuu kutoka Taasisi mbalimbali za umma kwa manufaa ya wananchi, wafanyabiashara, watumishi na wadau wengine wandani na nje ya … Kutoa tiba na kinga kwa magonjwa ya milipuko. Wasifu Vijiji 44 vya kata za Melela, Doma, Tchenzema, Mvomero, Turian na Hembeti vimepatiwa mafunzo ya hifadhi ya mazingira, kati ya vijiji 101 vya wilaya ya Mvomero. Idadi ya wananchi wasiopata maji safi na salama ni 125052. Wakulima wamekuwa wakizuiwa kulima katika hayo maeneo kwa sababu tayari eneo limetengwa kwa ajili ya ufugaji, lakini wakulima hao wanadai eneo ni la kilimo. Halmashauri ya Wilaya ina jumla ya wanafunzi 62,627 wakiwemo wavulana 31,650 na wasichana 30,977. Chama kimoja (1) kinajishughulisha na Kilimo cha umwagiliaji Dakawa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,935 [1] walioishi humo. Wilaya ya Mvomero ina jumla ya Vijiji 101 kati ya hivyo Vijiji vyenye zahanati angalau moja au zaidi ni Vijiji 59 na ambavyo havina zahanati ni 43. Umbile la Wilaya ni kama mwezi mchanga unaoambaa ambaa Manispaa ya Morogoro kuelekea Kaskazini. kwa kipindi cha Julai hadi Juni 2007/2008, Halmashauri ilitumia gari la wizara Mobile video van kutoa elimu na kuonesha picha za video katika vijiji 8 vilivyo chini ya mpango wa usimamizi shirkishi wa misitu (USM) na katika vijiji vya Melela, Mlandizi na Nyandira. Idadi ya wanafunzi wote kuanzia kidato cha I – IV ni 7158, wakiwemo wavulana 4084 na wasichana 3074. Pwani ya kusini (Mikoa ya Mtwara na Lindi): Maeneo haya yanatarajiwa kuwa na vipindi vichache vya mvua na ngurumo katika maeneo machache. Kwa kawaida Wilaya inapata mvua mara mbili kwa mwaka. Bado kesi ipo Mahakamani na hivi karibuni Waziri Mkuu ameunda tume ya kuchunguza mgogoro huo na bado hatujajua majibu ya Tume. Lugha yao ni Kikagulu. (Quick wins ). bilioni 10 kwa ajili ya mashamba waliyonyang'anywa. JPM akizindua soko la Chifu Kingalu jijini Morogoro … Kwa Mama Mjamzito kutembea kilometa tano kwenda kupata huduma na kurudi ni umbali mkubwa na zaidi ya hayo vituo vingine vya huduma havifikiki kutokana na kuwapo mito, mabonde au milima. Wilaya hii imeanzishwa mwaka 2002 na ina jumla ya kilomita za mraba 7,325 sawa na 9.98% ya eneo la Mkoa. Idara kwa Kushirikiana na Wakala wa vipimo mkoani ilifanya ukaguzi wa mizani. Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii ni mojawapo ya Idara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero. Idadi ya pikipiki ni 11 , kati ya hizo 6 ni za Wasimamizi wa huduma za Afya ngazi ya Kanda (CASCADE) na 5 za Miradi mbalimbali ya huduma za Afya (Usubi, Chanjo, UKIMWI). Wagonjwa wanalazwa sakafuni, Stand za Drip hakuna, wauguzi hawana gloves za kuvaa mikononi. Mikoa 19 ilikuwa chini ya wakuu wa mkoa wa kawaida yaani maafisa waraia Wajerumani (jer. Alisema kati ya majimbo 11 ya Mkoa wa Morogoro, majimbo nane hakuna wagombea wa Chadema kwa sababu wamezuiwa kuwasilisha fomu za uteuzi. Kati ya vituo hivyo, 444 ndivyo vinavyofanya kazi sawa na 73% ya vituo vyote kama ilivyooneshwa katika majedwali hapo chini:-. Sekretariati ya mkoa asili yake ni sera ya Taifa ya kupeleka madaraka karibu na wanachi ya Mwaka 1972.Kimsigi sera hii ilisogeza madaraka ya kiwizara mikoani na kutekelezwa chini ya Mkurugenzi wa Maendeleo wa mkoa (RDD).Muundo huu wa kiutawaala mkoani ulihitimisha mamlaka za asili zilizokuwepo. Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameyasema hayo leo Septemba 14, 2020 wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kufuatia matamshi ya mgombea huyo wa urais Zanzibar Maalim Seif kuwa akishinda atawaunganisha wananchi wa visiwa vya Unguaja na Pemba . Matumizi ya Vipimo halali kwa mujibu wa sheria ya vipimo Na. Wilaya ina jumla ya vyama vya Akiba na Mikopo 17 ambavyo vina jumla ya wanachama 6726, Me 4597, Ke 2129 vikiwa na Hisa 435,091,000/=, Akiba 473,790,000/= na Amana 411,622,000/=. Kata zenye shule zaidi ya moja ni Mtibwa (2), Diongoya (2), Mzumbe (2) na Mvomero (2). Upimaji wa ranchi 50 za wafugaji eneo la Dakawa umeshaanza lakini bado haujakamilika kutoka na ugumu wa upatikanaji wa vifaa vya upimaji. HISTORIA YA WALUGURU Asili ya neno Morogoro ni Mluguru ili kujua zaidi twende pamoja. Rose Mhando ambaye hujulikana pia kwa jina la Rose Muhando;amezaliwa mwaka 1976 katika kijiji cha Dumila, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, nchini Tanzania) ni msanii maarufu wa muziki wa injili katika lugha ya swahili katika kanda ya Afrika Mashariki. Mahitaji ya walimu ni 1,566 hivyo tuna upungufu wa walimu 132. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Mwekezaji Super Doll wa Dar es Salaam. Elimu ya Mazingira na athari za uchomaji moto misitu ilitolewa. Emmanuel Masasi Kalobelo Mipango ya matumizi bora ya ardhi imeandaliwa katika vijiji 20 kati ya vijiji 101 vya Wilaya. Muhula wa kwanza kwa mwaka wa msomo 2018/2019 unaanza tarehe 02/07/2018 mwanao pitia Chalinze(Pwani) na mkoa wa Iringa, shuka kituo cha mabasi cha mkoa wa Morogoro(MSAMVU). Leo 15:15pm 14/06/2020 Wakati wa likizo tukiwa wadogo tulipofunga Shule pale Bungo Primary School, Mimi na ndugu zangu tulikuwa tunakwenda kuwasalimu Bibi na babu kijijini Tawa Matombo,pale kibunduga kwa Mzee Butwa, Wilaya ya Mvomero ina Kiwanda kikubwa 1 cha Mtibwa kinachozalisha Sukari (Mtibwa Sugar Estate) kilichopo kijiji cha Lukenge kata ya Mtibwa Tarafa ya Turiani. Kuhakikisha kuwa vyombo vinavyoendesha miradi ya maji jamii vinapatiwa mafunzo juu ya usimamizi na uendeshaji ili miradi hiyo iwe endelevu. Kata za Wilaya ya Morogoro Vijijini - Mkoa wa Morogoro - Tanzania. Kijiografia Wilaya imegawanyika katika nyanda tatu kama ifuatavyo:-. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya na Iringa. Wanakijiji watazitumia hati hizo kama dhamana ya upatikanaji wa mikopo . Mashamba na makazi ya wanavijiji yamo ndani ya hilo shamba ambalo hapo awali lilikuwa likimilikiwa na MODECO na baadae mwaka 1975 likauzwa kwa zabunikwa Kipunguni Enterprises Ltd. Uongozi wa wilaya una mpango wa kuwasiliana na mmiliki ili aachie kwa hiari maeneo yaliyokaliwa na wanavijiji ili iwe ardhi ya vijiji. Wilaya ina jimbo moja la Uchaguzi wa Ubunge la Mvomero linaloanzia Mgeta kwenye Milima ya Uluguru hadi Turiani kwenye Milima ya Nguu. Vp mbona cjaona vyanzo vya maji au hamna kabisa katika wilaya ya mvomero? Kutokana na sensa ya mwaka 2002, Wilaya ina wakazi wapatao 260,525 kati yao wanaume ni 131,256 na wanawake 129,269. Walimu waliopo ni 1,434 kati yao wanaume ni 638 na wanawake ni 796. YA KILOSA MKOA WA MOROGORO MWAKA 2021 1.0 UTANGULIZI ... Form ya maelezo binafsi kuhusu historia ya mwanafunzi na mkataba wa kutoshiriki katika migomo, fujo na makosa ya jinai. Halmashauri imekuwa inatekeleza majukumu yake kufuatana na sera ya misitu ya 1998 na sheria ya misitu ya 2002, na ya wanyamapori ya 1998 “Ushirikishwaji wa jamii katika uhifadhi na kuzingatia matumizi endelevu”. "Hali Halisi angalia Jedwali A", Mbali na kuwa na SACCOS 17, Wilaya ina Vyama 5 (vitano) vya Ushirika ambavyo vinajishughulisha na kilimo cha mbogamboga, maduka, umwagiliaji, kilimo cha nafaka na ufugaji. Hatua inayofuata ni kutayarisha vyeti vya ardhi ya Vijiji kwa kuanza na vijiji 20 ambavyo tayari vimeandaliwa mipango ya matumizi bora ya ardhi. Katika kipindi cha 2007/2008 kamati za mazingira katika vijiji vya Tchenzema, Nyandira, Kibuko, Mwarazi Manza, Wami Dakawa, Makuyu, Nyandira, Tangeni, Mangae, Msongozi na Maharaka ziliundwa na kupatiwa Mafunzo. Wilaya inapakana na Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga kwa upande wa Kaskazini na Wilaya ya Kilosa kwa upande wa Magharibi. Jumla ya Kaya katika Wilaya ni 58,314 zenye wastani wa watu 4.5 kwa kila Kaya. Halmashauri inatoa elimu kwa wananchi juu ya miti ya Misederela na kutunga sheria ndogo za udhibiti upandaji wa miti hiyo jirani na misitu ya hifadhi. Upungufu wa vitendea kazi vya kitaalamu na vya kawaida. Idadi ya watu wanaopata maji safi na salama katima umbali usiozidi M. 400 imefikia 135,473 ambao ni sawa na asilimia 52 hadi kufikia mwaka wa fedha 2007/2008. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Sanare aanza kazi rasmi Mkoani Morogoro, MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU(MOCK) KIDATO CHA NNE MEI-2019 MOROGORO. Kata za Mkoa wa Morogoro Connected to: {{::readMoreArticle.title}} Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru {{bottomLinkPreText}} {{bottomLinkText}} This page is based on a Wikipedia article written by contributors (read/edit). Marejeo. pia kuna Kiwanda kimoja cha kusindika sukari guru kilichopo kata ya Mlali. Kuhamasisha jamii juu ya utunzaji wa vyanzo vya maji na usafi wa mazingira. Vipo viwanda vidogo vya useremala, mashine za kukamua mafuta, mashine za kusaga n.k. Walimu wanaofundisha Elimu ya awali ni miongoni mwa wanaofundisha shule za msingi ambao idadi yao ni 103, kati yao wanaume ni 35 na wanawake ni 68. Hii imesaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti matukio ya moto yanayotokana na uaandaji wa mashamba au malisho ya mifugo. Hali ya joto ni nyuzi 29 0 C. Halmashauri ina jimbo moja la uchaguzi ambalo ni Mvomero na Bw Paul C. Kiyumbi ndiye Mwenyekiti wa Halmashauri na Bibi S. Linuma ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri. Malengo ya mwaka 2008/2009 ni kuandaa mipango ya matumizi bora ya ardhi katika vijiji 11. Kuboresha huduma ya maji safi na salama kwa kushirikiana na Wizara ya maji. Malisho na maji yanapatikana japo yamepungua kwa kipindi hiki. Hata hivyo jamii kwenye vijiji wamefundishwa sheria ya Misitu ya 2002 na kisha kuunda kamati za udhibiti wa uharibifu wa mazingira za vijiji. Kanda ya kusini (Mkoa wa Ruvuma na Maeneo ya kusini mwa Morogoro): Maeneo haya yanatarajiwa kuwa na vipindi vya mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo. Lengo kuu la Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi (MMAM) ni kusogeza huduma karibu zaidi na Wananchi. Aidha ongezeko limechangiwa na mwamko wa elimu kwa jamii ya wafugaji kuwapeleka watoto wao shule. Wilaya hupata wastani wa 1900mm za mvua kwa mwaka. Mkuu wa Mkoa Maporomoko ya Maji ya Kimani (Kimani Waterfalls) ni miongoni mwa Vivutio vingi vilivyopo ndani ya Maeneo yanayohifadhiwa na kusimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA). … Mahitaji ya walimu kwa shule za sekondari kwa mwaka 2008, ni walimu 542, waliopo ni walimu 281 na upungufu ni walimu 261. Shughuli za Ushirika katika Wilaya ni za muhimu kwa kuzingatia kuwa idadi kubwa ya wakazi wa Wilaya ya Mvomero ni Wakulima wanaotegemea Kilimo na shughuli za biashara ndogondogo. Pamoja na hayo, aliwaomba madiwani watoe ushirikiano kwa kutoa taarifa juu ya watu wanaoiba maji katika kata zao. •  Nyanda za juu ( Highland and Mountainous Zone): Nyanda hizi hasa ni zile za milima ya Uluguru na Ungulu. Uandikishaji kwa miaka mitatu mfululizo umekuwa ukiongezeka kama inavyooneshwa katika jedwali Na. Pembejeo za ruzuku zilizopatikana ni mbolea aina ya urea tani 76, DAP tani 20 na mbegu za mahindi 2.2. Aidha kuna Chuo Kikuu kimoja cha Mzumbe na chuo cha ualimu Mhonda kinachotoa mafunzo ya ualimu kwa walimu wa daraja la III A. Katika shule za msingi 139 zilizopo, shule 95 sawa na 68% zina madarasa ya awali. Mkoa wa Njombe ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Mgogoro kati ya shamba la Kipunguni Enterprises Ltd na vijiji jirani: Mgogoro mwingine ni kati ya Kipunguni Enterprises LTD mmiliki wa shamba lenye ukubwa wa karibia ekari 98,000 linaloenea katika vijiji vitano vya Mangae, Msongozi, Mkata, Melela na Magali.